Siku zote kila jinsia hua inatamani kua na mwenza ambae ni
mwaminifu mkweli na anaemjali na kumheshimu, lakini hua inafika kipindi mapenzi
yanaanza kuyumba au kuingia katika migogoro pale mmoja anapoanza kupatwa na
hofu juu ya kusalitiwa na mwenza wake
Inafahanika kwamba mapenzi ndio mzizi bora katika dunia na
hakuna anaependa kusalitiwa. Sasa je katika mahusiano nani huwa anaanza usaliti
kati ya MWANAMKE na MWANAUME???
Love Clinic imeliona hili na kuamua kulileta kwako ili
tujadiliane kwa pamoja kwamba nini sababu au nini chanzo cha mmoja kati ya
wapenzi kumsaliti mwenzake??
Toa maoni yako yenye kuelimisha na kujenga juu ya mada hii
ya leo.
Kama una tukio, changamoto au habari yeyote tutumie:
Email: mossesshio@gmail.com
Whatsapp: +255745222780
0 comments :
Post a Comment