Wakati sisi
wanaume tukilaumiwa kuwa na vibamia, wanawake nao huwa wanapatwa na tatizo la
kuwa na uke mkubwa kiasi kwamba unaweza kuhoji huu ni uwanja wa taifa au!. Basi
kina mama msiache kunipa zawadi kwa hili. Ikiwa misuli ya uke wako imelegea na
uke umekuwa mkubwa na unahitaji kuubana na kuwa mdogo tena basi unachohitaji ni
mshubiri freshi. Chukua aloe vera fresh, chukua jeli yake (maji maji yake) na
upakae huko ndani kutwa mara 2 mpaka 3 kwa wiki 3 mpaka mwezi mmoja hivi utaona
umekuwa kama binti mdogo tena na mme atabaki na wewe. Kazi ni kwenu.
Hutibu maambukizi katika uke
Unaweza
kutibu maambukizi katika uke kwa kupakaa jeli ya aloe vera kwa nje na kwa
kuinywa jeli kupata faida yake ya kutibu fangasi. Mililita 120 mpaka 200 za
jeli ya aloe vera kila siku zinaweza kusaidia kutibu maambukizi na fangasi
katika mwili na ikiwa utaendelea kuinywa kwa muda mrefu kunaweza kuzuia
maambukizi zaidi kutokujirudia baadaye.
Hulainisha sehemu kavu za siri
Aloe Vera hufanya kazi kama kilainishi bora kabisa cha asili
katika maeneo ya siri kwa jinsia zote mbili na kutoa unyevunyevu wa asili.
Huondoa Makeup
Kwa usalama
kabisa huondoa makeup kwenye jicho na ni nzuri kwa ngozi laini inayozunguka
jicho lako.
Endelea kuitembelea Love Clinic ili kuweza kupata elimu yaafya ili kuweza kuimarisha mahusiano yako na familia kwa ujumla.
una swali au comment unaweza kushare nasi hapo chini
JINSI YA KUTENGENEZA ALOE VERA OIL NYUMBANI KWAKO
0 comments :
Post a Comment