MAMBO 15 WANAYOPENDA WANAWAKE KWA MWANAUME

Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.



Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini
2. Mcheshi
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenye mawazo mapana
 9. Muwazi na mkweli
 10. Anayeridhika
 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma
 13. Anaesamehe
 14. Hadhi na heshima
 15. Hisia ya uadilifu.


Kama utakua na asilimia kubwa ya mambo hayo basi ujue una nafasi kubwa sana ya kuweza udumu na kuhimili changamoto nyingi juu ya muonekano wako kwa mwanamke. Yawezekana usiwe navyo yote lakini kati ya hayo hapo juu unaweza kumfanya mwanamke kujua nini anakipenda na kuvutiwa ndani yako.
Share on Google Plus

About Mlaki

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Pkv games online | MapyRO
    Pokyron Casino offers 김포 출장샵 games from more than 50 online providers, and some of them are 문경 출장샵 from top 대구광역 출장마사지 developers. Find the best Pokyron Casino 공주 출장샵 app here. 김제 출장안마

    ReplyDelete