
Wanawake wengi walio kwenye
mahusiano hua wapo makini sana kulinda wanaume wao katika janga la michepuko, pamoja
na kwamba matangazo na maonyo mengi katika televisheni na magazeti kua
michepuko sio dili bakinjia kuu, hilo limeweza kuwapa sana nguvu wanawake kwa
kujua mbinu nyingi za kuweza kuwalinda wanaume wao.
Pamoja na hayo yote kutokua waaminifu
na kuwasaliti wanawake ambao tuko nao kwenye mahusiano na kubaki kukodoa kodoa
macho kwa wasichana/wanawake wan je Je? Hii ni kuendekeza tamaa za ngono au?
Hiki ni moja ya vitu ambavyo
vinasababisha wanaume wengi kuwa na tamaa za michepuko kwani
tamaa inatokana na kutazama, hebu toa maoni yako juu hili!
Unawashauri nini wanaume waliojawa
na tamaa za ngono kwa kisingizio cha wasichana wenye mashepu na rangi na
kuwaona wale waliokua nao kwenye mahusiano hawafai???
0 comments :
Post a Comment